Nay Wa Mitego – Sherehe Lyrics
Leo Ni Sherehe Sherehe,
Naacha Pombe Nakunywa Mara Ya,
Mwisho Sitaki Pombe
Natusheherekee, Naacha Pombe,
Nalewa Mara Ya Mwisho Sitaki Pombe
Leo Ni Sherehe Sherehe,
Naacha Pombe Nakunywa Mara Ya,
Mwisho Sitaki Pombe
Natusheherekee, Naacha Pombe,
Nalewa Mara Ya Mwisho Sitaki Pombe
Jamani Pombe Pombe,
Hivi Ililetwa Na Nani Heee
Yaani Tam Tam Mpaka Kisogoni Hee
Alogundua Pombe Moja Kwa Moja Peponi,
Aende Peponi, Aende Peponi
Kwanza Nikishalewa Inanikata Aibu, (Aibu)
Alafu Inanipaga Vibe (Vibe)
Hakuna Swali Linakosa Jibu Ule Ugonjwa,
Wa Kingereza Bhana Pombe Inatibu
Leo Kamkesho Kamnyweso,
Mbona Nasweti Sana Jamani Nipe Kaleso
Kama Unanidai Naomba Tuonane Kesho,
Hela Nayotuma Leo Ni Marejesho
Tukishalewa Si Walevi Tunapendana,
Hata Tukigombana Pombe Ikikata Tunapatana
Tukishalewa Si Walevi Tunapendana,
Hata Tukigombana Pombe Ikikata Tunapatana
Leo Ni Sherehe Sherehe,
Naacha Pombe Nakunywa Mara Ya,
Mwisho Sitaki Pombe
Natusheherekee, Naacha Pombe,
Nalewa Mara Ya Mwisho Sitaki Pombe
Leo Ni Sherehe Sherehe,
Naacha Pombe Nakunywa Mara Ya,
Mwisho Sitaki Pombe
Natusheherekee, Naacha Pombe,
Nalewa Mara Ya Mwisho Sitaki Pombe
Leo Nakunywa Mara Ya Mwisho Kesho Mi Naokoka,
Tatizo Kubwa Nikilewa Huwa Naropoka
Na Kama Nna Siri Zako Jua Ushaumbuka,
Nakua Mwongo Mwongo
Pombe Inanifirisi Pombe Na Ibilisi,
Hapa Nakuacha Leo Ile Kesho Tunakumis
Nikishalewa Nakuwaga Mzee Wa Fix,
Naahidi Ajira Wakati Sina Hata Ofisi
Hooo! Leo Kalewa Leo,
Leo Acha Nilewe Leo,
Hooo! Leo Kulewa Leo,
Leo Mtanibeba Leo!
Tukishalewa Si Walevi Tunapendana,
Hata Tukigombana Pombe Ikikata Tunapatana
Tukishalewa Si Walevi Tunapendana,
Hata Tukigombana Pombe Ikikata Tunapatana
Leo Ni Sherehe Sherehe,
Naacha Pombe Nakunywa Mara Ya,
Mwisho Sitaki Pombe
Natusheherekee, Naacha Pombe,
Nalewa Mara Ya Mwisho Sitaki Pombe
Leo Ni Sherehe Sherehe,
Naacha Pombe Nakunywa Mara Ya,
Mwisho Sitaki Pombe
Natusheherekee, Naacha Pombe,
Nalewa Mara Ya Mwisho Sitaki Pombe