Skip to content

Willy Paul – Tamu Walahi Lyrics

Willy Paul – Tamu Walahi Lyrics

Katoto hodari, akikata hodari, kiuno hodari, akipanda hodari, full shangwe anajiachia .

Ulivo fundi nyumbani kwa bedi my lady tamu walahi, tamu walahi, mama tamu walahi
Ulivo fundi nyumbani kwa bed my lady tamu walahi, mama tamu walahi

Muondoka wako tamu walahi,
ukiniguza tamu walahi na tukicheza tamu walahi tamu walahi tamu walahi .

Eti baby anapenda, anapenda njaro za kipole pole,
yaani mwendo wa kobe, kobe kobe kobe
Kasheri kanapendaga tu mayai na tu soseji, alafu mwendo wa kobe kobe kobe kobe.
Anafanya, namwaga jasho sho sho, natokwa na pepo popo shoti kama ya Ronaldo dodo iiih,
Ngozi ilivo nyooka, malaika my darling, ( lala × 9 )

unavonipa kwa bedi my darling naskia tu pepe, eti pepe, naskia tu pepe

Ulivo fundi nyumbani kwa bedi my lady tamu walahi, tamu walahi, mama tamu walahi
Ulivo fundi nyumbani kwa bed my lady tamu walahi, mama tamu walahi

Muondoka wako tamu walahi,
ukiniguza tamu walahi na tukicheza tamu walahi tamu walahi tamu walahi .

Mtoto anataka tucheze tu baibuda maimuna hataki pressure, ooh my lover.
Ooh baby ukiniguza wanitia haya, na unavokata chumbani mama unani maliza, aaih mama, mama, wanimada mama, wanimaliza mama, mmmh mama. Wanaokudharau, wana roho mbaya.. itabidi wafunge virago warudi waliko toka. Shindwe pepo mbaya!

unavonipa kwa bedi my darling naskia tu pepe, eti pepe, naskia tu pepe

Ulivo fundi nyumbani kwa bedi my lady tamu walahi, tamu walahi, mama tamu walahi
Ulivo fundi nyumbani kwa bed my lady tamu walahi, mama tamu walahi

Muondoka wako tamu walahi,
ukiniguza tamu walahi na tukicheza tamu walahi tamu walahi tamu walahi .

Muondoka wako tamu walahi, ukiniguza tamu walahi na tukicheza tamu walahi tamu walahi tamu walahi .

YouTube video