Yalaaaa Lyrics – Zuchu

(Mojaaa..)
(Mocco!)

Mmmh kaniumbua umbua
Anavyonidadavua
Vitu flani vya kusisimua
Chachambu anavyo ichambua

Hunipa ning’ate ng’ate
Mikato nikate kate
Igande inate nate
Itelezeshwe kwa matee

Yalaaaa! Yalaaaa! Yalaaaa! Yalaaaa!
Yalaaaa! Yalaaaa! Yalaaaa! Yalaaaa!

Kanipania paniaaa
Na hajataka kuniachia
Kanipania pania
Na hajataka kuniachia

Kama samaki hulumangia
Huanza kichwa mpaka na mkia yahyah

Naiomba serikali (Kali)
Kijana apelekwe mbali (Mbali)
Ananifanya silali (Lali)
Siwazi, sitafakari

Yalaaaa! Yalaaaa! Yalaaaa! Yalaaaa!
Yalaaaa! Yalaaaa! Yalaaaa! Yalaaaa!

Yakhayuku, yakhayuku
Mshuku shuku
Yakhayuku, yakhayuku
Mshuku shuku

Yakhayuku, mshukushuku
Yakhayuku, mhukushuku

Yakhayuku, yakhayuku
Mshuku shuku
Yakhayuku, yakhayuku
Mshuku shuku

Yakhayuku, mshukushuku
Yakhayuku, mhukushuku

Aii tende (Tende)
Halua (Halua) mama

Yakhayuku, yakhayuku
Mshuku shuku
Yakhayuku, yakhayuku
Mshuku shuku

Yakhayuku, mshukushuku
Yakhayuku, mhukushuku

(Kamix Lizer)