Zee – Moyo Lyrics

Nimezingwa na upweke kitandani nalia
Nakumbuka malito moyoni naumia
Nipo kama bwege ndani naugulia
Yalonikuta sina budi kulia
Alinitoa sana kalawe
Ananifanya mimi nichachawe
Roho inalia imeenda naye
Kwa senti mia nilimpa yeye

Shida yangu mapenzi nilopewa nawewe
Yananitesa kishenzi yananifanya nisielewe
Shida yangu mapenzi nilopewa nawewe
Yananitesa kishenzi yananifanya nisielewe
Moyo unalalama, unalalama
Moyo unalalama
Moyo unalalama, unalalama
Moyo unalalama

Moyo unalalama, unalalama
Moyo unalalama
Sikujua utanitenda one day
Mbona umenitenda my love
Nilijua you are my one and only
Mbona umeenda my love
Sikuoni nipo peke yangu
Najiridhisha mwenyewe
Sijioni kuishi peke yangu
Ningali bila wewe
Ona nimekonda ndo maana

Haa ndo maana
Sina nuru ukinitazama
Aah tazama
Aninusuru wangu Rabana
Time uchungu ulidanganywa
Shida yangu mapenzi nilopewa nawewe
Yananitesa kishenzi yananifanya nisielewe

Shida yangu mapenzi nilopewa nawewe
Yananitesa kishenzi yananifanya nisielewe
Moyo unalalama, unalalama
Moyo unalalama
Moyo unalalama, unalalama
Moyo unalalama
Moyo unalalama, unalalama
Moyo unalalama
Moyo unalalama, unalalama
Moyo unalalama