VIRUSI MBAYA Ft OKSYDE x SCAR MKADINALI x BOUTROSS – Chomeka Lyrics Naota nachoma, mama naota nachoma Lete koro, lete koro nikiangushe hadharani Lete koro, lete koro nikiangushe hadharani Ningekuwa […]
VIRUSI MBAYA Ft OKSYDE x SCAR MKADINALI x BOUTROSS – Chomeka Lyrics
Naota nachoma, mama naota nachoma
Lete koro, lete koro nikiangushe hadharani
Lete koro, lete koro nikiangushe hadharani
Ningekuwa na kapyenga haingefika magiza
East or West place kamewaka ndio home
Akili inalipuka vile huyu kijana ako mandom
Si lazima tupande 4W hata mtaani tumejiseti
Nimetokea na slayqueen amejisundia kwa kibeti
Riz kwa matiti na amechukua hio kiberiti
Happy birthday to Mary Jane kila day ni 4:20
I swear mi huwawasha nawaacha wakijikuna