Bright – Amenidanganya Lyrics

Kizunguungu
Nina macho ila siono
Mbele ukungu
Kina kirefu maji shingoni

Ukanizidi utundu
Kioo ukanilaza ulingoni
Fupi langu fungu
Mbio zangu zimefika ukingoni

Kumpenda kumjali yote kazi bure
Mi hanitaki tena
Anauza bei kali nisimsumbuee
Ndio anavyosema

Tena nikae mbali nisimjue
Alichomeza katema
Kafika mwisho wa safari mi nimtue
Aaaah

Mbona nilimdekeza
Penzi nikamuongeza
Namba zote nilicheza
Aaah

Kumbe mwezangu charge ya pweza
Pakavu ye anateleza
Mzigo mzito nimeshindwa ubeba
Aaaah

Amenidanganyaa
Tena muongo sana
Yule amenidanganya
Muongo sana

Mmmmmh eeeeh

Simu yake ina password
Ikiniita nisipokee
Nikiona zake message
Niache nisimfokee

Kadata na jinaa aah jina
La watoto wa mjini
Mimi nyota sinaa aah sina
Nimetoka uswahilini aah

Kumpenda kumjali yote kazi bure
Mi hanitaki tena
Anauza bei kali nisimsumbuee
Ndio anavyosema

Tena nikae mbali nisimjue
Alichomeza katema
Kafika mwisho wa safari mi nimtue
Aaaah

Mbona nilimdekeza
Penzi nikamuongeza
Namba zote nilicheza
Aaah

Kumbe mwezangu charge ya pweza
Pakavu ye anateleza
Mzigo mzito nimeshindwa ubeba
Aaaah

Amenidanganyaa
Tena muongo sana
Yule amenidanganya
Muongo sana