Zuchu – Hasara Lyrics

Mi staki tuongee
Moyoni nina machungu machungu
Nisije tenda dhambi
hmmm
Ila chozi la mnyonge
Malipo ni kwa Mungu, kwa Mungu
Naogopa dhambi
hmmmm
Mi staki tuongee
Moyoni nina machungu, machungu
Nisije tenda dhambi
Ila chozi la mnyonge
Malipo ni kwa Mungu wa Mungu
Bora nihame kambi

Kama subira nina mwisho
Ina mwisho wake maana
Asali umeimaliza mazinga
Ukanifanya tahira
suluhisho nimeona kwako hamna mono wangu iwaamini nao najitoa
Tunagombana kwa vitu vidogo
Kosa si kosa unageuka mbogo
Huna dogo wewe
Hunpendi unang’ong’a kisogo
Punda siendi eti bila mangongo
Penda zogo weweee

Kukupenda twna staki nimekoma
Staki staki
kunkuona staki
Narudia tenda staki
kunkuona staki
Mimekoma staki

Bora nihesabu tu hasara aah hasara ahh hasara, hasara
hasara aah hasara ahh hasara, hasara

Kina cha maji matitu kaniacha
Bila boy anifie kosa langu mimi
Machana nauona ka usiku machacha
Je maumivu niyasikie
Asiye wangu teni
Machana nauona ka usiku machacha
Je maumivu niyasikie
Asiye wangu teni