MBOGI GENJE Ft WAFALME – Kakinuka Lyrics

Na si adi mbona unableki na bado hujajitepa ah
Tumejipin mpaka unadai sepa
Na bado ni mashash madawa wakuziburn
Ka kawa wakujinyc baadae ni kumteka

Ju ka ni mbaya ni mbaya ka kawaida
Bado ni mashang’ vidungi za kila aina
Ririma kuwatepa kuwachuna ka designer
Ngeso kuwaswipe kupona kutoa ryte ee

Diki ni mwere si alidhani jo ni movie
Ju vile kalibonge ilibaki ametoka nduki
Bado kumeditate kuririma na mandugu
Utabaki umevuta chaji unaskia si ndo maguru

Looku daily itabaki mmetutaja kakinuka
Mahedi ni harufu tu ya ganja kakinuka
Ka daily uyu mrazi akibanja katanuka
Kaguze kanuke na bado tukanuse