VIRUSI MBAYA Ft OKSYDE – Lazima Watii Lyrics

Lazma watii, lazma watii, lazma watii eeh
Lazma watii, lazma watii, lazma watii eeh
Vile tunakam, lazma watii eeh
Vile tumejam, lazma watii eeh

Lazma watii, lazma watii, lazma watii eeh
Lazma watii, lazma watii, lazma watii eeh
Vile tunakam, lazma watii eeh
Tunakam tumejam uh uh, lazma watii eeh

Tokea na kikolo chimbia solo
Ndio mastoner watii
Tokea na mathao na sio za mkopo
Ndio mambleina watii

Tokea na maslay na wote waweigh
Ndio ma hyena watii
Tokea na magoon na wote si wagood
Ndio mafcker wameshatii

Ulikata kutii naskia walikushika hadi mashati
Mi siwezi tumika bro mi si sheria na masharti
Hao marookie lazima watii ndio tukubali waingie pro
Na si please ni lazima watatii
Ama itabidi watie roho
Kutii lazima utatii ama utatiwa kidole cha kati