Virusi Mbaya Ft Breeder LW – Kajanje Lyrics

Ni kafala kajanje
(Alex Vice)

Alijifanya kajanje mwishowe alizamwa katenje
Alijifanya kajanje mwishowe alikosa walenje
Huyo sasa ako stenje anaripoti alizamwa hadi tonje
Huyo sasa ako stenje anaripoti alikosa walenje

Breeder LW
Mtaani kunoma hakuna security ka Tuskys
Alitokwa walenje tenje mbota na carkeys
Utaperembwa bila hata presha yaani ni at ease
Na vile jina ni biggy na niko na swali
Mbona ni askies

Paranoia niko nayo nikustep niko macho wazi
Nikiset jo ni moshi safi
Mziki imefanya sikosi kazi
Uh acha katambe kama una ngori basi
Manoti mingi kwa pori shaffie
Ni TK match sivai Versace