MADINI CLASSIC Ft FLAQO RAZ x JIMMY CORNROWS – Dayana Lyrics

Dayana, dayana, dayana
(It’s Jessie on the beat)
Handsome

Mtoto rangi ya benki
Ona sura si kudadeki
And I know baby you make me feel like this
Kila time unanigidigidi roho imake —

Sio kwamba sijaona wazuri zaidi yako
Sio kwamba sijawakata ni mahali unanitekenyaga
So baby give me handshake
Mi ni kama melody ya dancing