GIGY MONEY x B CLASSIC 006 – Ukinigusa Lyrics

Unajua mechi mama sio kidogo
Zama Insta mpaka huko inbobo
Umenimotivate umenipa michongo
Mpaka nikifika kwenu mi ndo kigogo

Kitandani we kinana
Nikikupiga hadi akili zinahama
Inama nigusanishe
Chanya na hasi kwa wahuni nikufikishe

Kana urembo wa tausi
Black beauty niko duty
Na penzi lake mi sisusi
Kanavyo koki koki za njanduki

Ukinigusa mama nadondoka
Nandondoka
Ukinigusa mama nadondoka
Nandondoka