Young Dee Ft G nako & J melody – DARESALAMA Lyrics

I’m looking so boujee
Ila kwa ukweli
My life is like a movie yenye nguvu ile mbaya
Napenda God naweza kuvunja shaya
Kuna dem cuppuccino ambaye tu —

Ukinipa bill naipiga kama John Cena
Ile kimtaani mtaani hata hope sina
Umeleta utani mwenzio hata akili sina
Kwa kitu gani mi nazima mpaka jiji zima