DAYSON LYRIC Ft SESKA – Magikombe Lyrics

Wamunyota wamunyota
Itabidi magikombe
Levi area kumesota
Itabidi yagifote
Chafua x2 magikombe (CHORUS x2)

Verse 1
Mdogo mdogo ndana zabe niku weka weka
Njaro njaro guthimira risto apana leta
Kamugithi ga samidoh hapa kanatesa
Kanakanakanashi densi ninacheza
Nimecheza jokopae ganji nikamuosha
Eti tume kitu nina riang nitalegesha
Hapa giza maze iza kwani hataniona
Kumaliza nafuliza na kutupa namba

Npate kwenye bar
Cheki vile ninafloss
Npate kwenye bar
Cheki vile nimepozz
Npate kwenye bar maze
Npate kwenye bar Nani
Npate kwenye bar

Chorus

Verse 2
I never chase my kugla
Tumbler, sunda makali iarrest kugla
Bu-cla, kama siko wines basi niko bar
Navuka maduka alafu naendea soda bar
Shuksha nayo must, chaser huwa si must
Tumbler nayo must
Monzo baston fegi ndo naji ya past
Fav chaser co-co-cola, chwadi na ki locola
Bora uschomwe na solar

Jan to August avoid bar rudi bar September
Jan to August avoid bar rudi bar october
Jan to August avoid bar, bar shinda November
Jan to August avoid bar lala bar December

Chorus

Verse 3
Nachachisha sanitize hadi mona
Si machupa nimacup taniokoa
Mi mangoko namakombe ndo naona
Tano sita leo lazima taniokota
Eh a must a must a must a must
Nina tama x2 inamatter ma
Toka zama cheki natazama
Cheki mama bila spanner kaza

Nipate kwenye bar
Cheiki vile ninafloss
Nipate kwenye bar
Cheki vile nimepozz
Nipate kwenye bar maze
Nipate kwenye bar nani
Nipate kwenye bar

Chorus

Outro
Jan to August avoid bar rudi bar September
Jan to August avoid bar rudi bar october
Jan to August avoid bar, bar shinda November
Jan to August avoid bar lala bar December
Ah umekula nyama na mbona unatapika mbosho
Umekula nyama na mbona unatapika mbosho
Eih weewe