Gwaash & Wakali Wao – Teresia lyrics

Tere tere tere tere
Tere tere Teresia
Tere tere tere tere

(Kingpheezle on the beat)

Skia stori ya huyu dem
Nilimpata K1 nikienda kutoa lock
Alikuwa fine figa
Anakaa ka chupa

Kuchochwa na maarif
Nikasema nitupe lugha
Kujibonga kama man
Nika offer kubuy drink

Bila ye kukataa, akajibu
(Yeah but I only take Hennessy)
Kama bazu kujichocha nikabuy hiyo drink
Dogo dogo mistari nikaanza kuzitupa
Akiflirt tu na mimi oh my
Sikujua alikuwa na mtu

Mavidevu na viding zilikam
Lakini kitu jamo
Huo dem alikuwa tu deng’a
Na hio nayo nitaisaka

Tere tere tere tere
Tere tere Teresia
Nikimuona naskia kuteleza
Nikimuona naskia kuteleza

Tere tere tere tere
Tere tere Teresia
Nikimuona naskia kuteleza
Nikimuona naskia kuteleza

YouTube video