Skip to content

SSARU – SWAGGER lyrics

SSARU – SWAGGER lyrics

Swagger! swagger!
Eh swagger swagger
(Rico Beatz Mr 808)

Hii ya leo Swagger, eh swagger
Eh swagger swagger
Hii ya leo Swagger, swagger
Swagger eh swagger

Hii ya leo swagger

Eyoo Ssaru nimekuja na kifua
Nacheki mna tatizo nimekuja kulitatua
We umetoboa kwa life nimetoboa mapua
Ulichumia pazuri mi nikichumia kwa jua aah

Pamba pamba
Pamba na ni looku ya kikamba
Mmh Pamba, mmmh pamba
Pamba na ni looku ya kishamba

Ah weka, weka (Weka weka)
Weka tanda linateta
Najigamba mi najua kupepeta
Haumjui Ssaru we umeboeka

Ah attention mi nawateka
Late night talks
Kumbe we uko maketepa
Mental ghost ndo inaniongelesha
Aaah….

Na hii ya leo Swagger, eh swagger
Eh swagger swagger
Hii ya leo Swagger, swagger
Eh swagger eh swagger

Hii ya leo Swagger, eh swagger
Eh swagger swagger
Hii ya leo Swagger, swagger
Eh swagger eh swagger

We unapenda kujifanya unanijua
Sa unajiona nigga wa kishua
Mi si wale wa kuletewa maua
Mi ni blush ati bae utaniua

Utaniua, mmh kamua
Niko baze niko na akina Wayua
Rarua we chafua
Nabendover ju unataka kufua

Fanya kama unachuna majani
Ni kama uko kwa shamba la jirani
Chutama izamie ndani
Usiniite baby niite hunnie

Tanda tanda
Usiku utanipata kwa kitanda
Tanda tanda
Cheki Ssaru amedunga nini?

Swagger, eh swagger
Eh swagger swagger
Hii ya leo Swagger, swagger
Eh swagger eh swagger

Hii ya leo Swagger, eh swagger
Eh swagger swagger
Hii ya leo Swagger, swagger
Eh swagger swagger

Pamba pamba
Pamba na ni looku ya kikamba
Mmh Pamba, pamba
Pamba na ni looku ya kishamba

Ah weka, weka
Weka tanda linateta
Najigamba mi najua kupepeta
Haumjui Ssaru we umeboeka

Swagger, eh swagger
Eh swagger swagger
Hii ya leo Swagger, swagger
Eh swagger eh swagger

Hii ya leo Swagger, swagger
Eh swagger swagger
Hii ya leo Swagger, swagger
Eh swagger swagger

Hii ya leo Swagger
Hii ya leo Swagger
Hii ya leo Swagger
Hii ya leo Swagger

Tags: