Mbosso – Sina Nyota lyrics

Mbosso – Sina Nyota lyrics

Mwenyewe anaona sawa ila mwambie

Mime ananiumiza sana

Ni zaidi ya kupagwa siponi ugonjwa

Na nishamaliza dawa


Aahhh ahhh

Ahh ahh ah

Na ajue bado nipo ila hali yangu

Hoi hoi sina mabadiliko

Machozi mafuriko fundi wa jiko langu

Kaniacha maawe paka kalamba mwikoo


Toka alivyo niacha

(Nyota mbalamwezii)

Mwenzake nimekamatwa

(Na homa ya mapenzi)

Toka alivyo niacha

(Nyota mbalamwezii)

Mwenzake nimekamatwa

(Na homa ya mapenzi)


Mwili tepetepeka

Dina hafadhali mawazo yanitesa

Bavu dabo deka

Dega misumari na nathoofika

Mwili tepetepeka

Dina hafadhali mawazo yanitesa

Bavu dabo deka

Dega misumari na nathoofika


Bado ndondondondo chururu

Nkijaza akijai kibaba

Na mi songo songo msururu sita haikai sabaa


Mimi kituru ya kunguru

[?] hazinipi msaada

Macombe shaogadawaka susuru

Huenda kasaau labda


Kitandani mito ipo miwili

Ubavu wewe Ubavu mimi

Pakata nikonde kwa shubiri

Nali kwepa nala na jini

Nimefuta picha tulizopiga chumbani

Ila bado zanisuta suta zimebaki kichwani

Sila li nashtuka shtuka unaniita kizani

Chozi lalowesha shuka na sina wa kunifuta nani


Toka alivyo niacha

(Nyota mbalamwezii)

Mwenzake nimekamatwa

(Na homa ya mapenzi)

Toka alivyo niacha

(Nyota mbalamwezii)

Mwenzake nimekamatwa

(Na homa ya mapenzi)


Mwili tepetepeka

Dina hafadhali mawazo yanitesa

Bavu dabo deka

Dega misumari na nathoofika

Mwili tepetepeka

Dina hafadhali mawazo yanitesa

Bavu dabo deka

Dega misumari na nathoofika

YouTube video