MABANTU & YOUNGLUNYA – SPONSA lyrics

Nimeshatuma na ya kutolea
Nimeshatuma na ya kutolea
Nimeshatuma na ya kutolea

(Gachi B)

Si wanapenda kubeng
Nyuma na mlima Meru sio kichuguu
Na kwa kifua kaka funga vitunguu
Mnavyosimamishaga ka stand kuu

So akiniambia nikam nakam thru
Kiuno alisema mama ndo amempatia
Na kweli siku za mbuzi kwenye gunia
Alivyonipokezana kanirudia
Na ile tuzo ya Uber kanitunukia

Kabla ya show tunanyonga cha Arusha
Zaidi tunawasha music tunajirusha
Huku nyagi na whiskey za kujiboosta
Si ndo tunaanza kuchafua mashuka

Hivi jamani mnaonaje?
Sponsor anazingua
Mi atanipeleka jela
Sponsor anazingua
Au kisa ana motokaa
Sponsor anazingua
Dar ataiona chungu

Sponsor niachie my wangu
Sponsor niachie my wangu
Sponsor niachie my wangu
Sponsor niachie my wangu

Sponsor niachie my wangu
Sponsor niachie my wangu
Sponsor niachie my wangu
Sponsor niachie my wangu

Nimeshatuma na ya kutolea
Nimeshatuma na ya kutolea
Nimeshatuma na ya kutolea
Nimeshatuma na ya kutolea

Sasa kwa kuwa shpupi yangu
Ina nane figa (My wangu)
Kama kawaida mnyamwezi najiona jiga (My wangu)
Kiukweli sponsor simu za usiku ukipiga
Mi nakuwaga naye ghetto napiga

Na mtatuma pesa mpaka basi
Na mkituma tunaenda kuvunjia makabati
Au tunanunua mitungi tunagongesha glasi
Na singa la michi chote zaidi ya mikasi

Pesa yangu mpaka utokee mikeka
Leta burger mi naleta mihogo na nacheka
Picha yangu siwezi kuifungia mbwa anayebweka
Weka baba mi akirudi naweka na analoweka
(Ooh my)

Hivi jamani mnaonaje?
Sponsor anazingua
Mi atanipeleka jela
Sponsor anazingua
Au kisa ana motokaa
Sponsor anazingua
Dar ataiona chungu

Sponsor niachie my wangu
Sponsor niachie my wangu
Sponsor niachie my wangu
Sponsor niachie my wangu

Sponsor niachie my wangu
Sponsor niachie my wangu
Sponsor niachie my wangu
Sponsor niachie my wangu

Nimeshatuma na ya kutolea
Nimeshatuma na ya kutolea
Nimeshatuma na ya kutolea
Nimeshatuma na ya kutolea

YouTube video