Skip to content
Home » BAHATI » BAHATI – NAANZA TENA lyrics

BAHATI – NAANZA TENA lyrics

BAHATI – NAANZA TENA lyrics

Mungu wangunaanza tena
Ah tena, tena
Naanza tena
Nipe nguvu naanza tena
Ah tena, tena
Naanza tena

Hii ribi sandarem
Baba yoo, hmm Baba
Nyimbo nzuri nikutungie
Baba, Baba wale iwafikie eh

Uchungu wangu nikupatie, ah
Dawa yangu nitafutie
Ila shida zanisonga sana
Wakati nakosa wa kumwambia
Nimekonda sana
Mawozo ya kesho we si unajua

Ila shida zanisonga sana
Wakati nakosa wa kumwambia
Nimekonda sana
Mawazo ya kesho we si unajua

Mungu wangu naanza tena
Ah tena, tena
Naanza tena
Nipe nguvu naanza tena
Ah tena, tena
Naanza tena

Unaitwa Jehovah Jairee, Jairee
Upendadalo Baba ba sina liwe
Wanakuita Jehovah Jairee, jairee
Upendalo Baba ba sin aliwe eh

Wanakuita baba wa yatima
Ume wa wajane
Wanakuita baba wa yatima

Wanakuita baba wa yatima
Me wa wajane
Wanakuita baba wa yatima

Mungu wangu naanza tena
Ah tena, tena
Naanza tena
Nipe nguvu naanza tena
Ah tena, tena
Naanza tena


Ooho (aaah eh)
Yesu wangu (aaheh)
Baba yangu (aah eeh )
We si unajua
Roho yangu (aaah eh)
Tamadio langu
Mungu wangu (aah eeh )
We si unajua

YouTube video
Tags: