Nadia Mukami – Jipe Lyrics

Kamoyo kangu kachoyo
Ila kwako nimetulia
Nairobi mpaka bagamoyo
Anataka kunichumbia

Sasa nalishwa, navishwa
Naogeshwaaaa aaah
Tena nalindwa napendwa
Yule si wa kuficha aaah

Picha kule kule
Watapata taabu saaana
Macho mbele mbele
Ananipenda saanaa aaah

Hakuna pingamizi kwetu
Hakuna madrama huku kwetu
Hatuna maneno huku kwetu
Tunapendana kikwetu

Chorus
Aka kamoyo kangu nijipe, Nijipe
Ukinipenda sana nijipe, Nijipe
Aka kamoyo kangu nijipe, Nijipe
Ukinipenda sana nijipe, Nijipe

Marioo
Mi mwenzako nawezaga kupenda sikatai Kweli
Ai ndo nishazama usinipige kipapai honey
Mi hapo kwako nishabwaga moyo usiulaghai Kweli
Ai ndo ushakwama unachotaka sikatai honey

Najua bado huamini haya yamekua
Yamekua ehh
Acha siamini

Si Hakuna pingamizi kwetu
Hakuna madrama huku kwetu
Hatuna maneno huku kwetu
Tunapendana kivyetu

Chorus
Aka kamoyo kangu nijipe, Nijipe
Ukinipenda sana nijipe, Nijipe
Aka kamoyo kangu nijipe, Nijipe
Ukinipenda sana nijipe, Nijipe

Nadia Mukami
Mapenzi malove nawe
Iwe shida au raha nitaponda nawe
Nataka kapicha nawe
Kumbusho pale tumetoka nawee

Siamini leo ni mimi nawe
Uuuuuh mama
Ni mimi na wewe
Hizi pesa nitafute nawe

Uuuuuuh mama
Nitafute na wewe

Lemme call you my dear
This love is real not bandia
If I love you hutakimbia
Coz my love is real not bandia

Hakuna pingamizi kwetu
Hakuna madrama huku kwetu
Hatuna maneno huku kwetu
Tunapendana kivyetu

Chorus
Aka kamoyo kangu nijipe, Nijipe
Ukinipenda sana nijipe, Nijipe
Aka kamoyo kangu nijipe, Nijipe
Ukinipenda sana nijipe, Nijipe

Nijipe, Nijipe, Nijipe, Nijipe
Nijipe, Nijipe,
Ukinipenda sana nijipe, Nijipe
Nadai Katambe