Harmonize – Mama Lyrics

Yeah
This one go to all beautiful
Mother in the world
I love you Mama

Hello Mama leo nimepata kisimu cha kuazima
Nikaona hata angalau nijue hali yakooo
Vipi upo salamaa nia na dhumuni nijue kama you mzima
Hadi nimesahau shikamoo heshima yakooo
Ingawa bado mambo magumu
Ila sijachoka napambanaaa
Ulinisihi na kuthurumu
Ni makosa kwa rabanaa..
Wasikudanganye na picha za mitandao

Ukahisi napochoo
We niombee kila kukichaa
Mmm ni mwanao..
Ipo siku nitatoboa
Nilisikiaga mjomba pisa
Yule fundi mbao..
Tayari amesha ooaa
Ila yote tisa kumi mwanao
Moyoni nadoa la kuwa mbali nawe
Eeeeh
Mamaaa I love you
I say I love you mama
Mamaaa I love you
Nahangaika ili kesho nikutunzeee

mamaaa I love you
I love you
i love you
mamaaa I love you
I love you
i love you
Hiiiiiii
I love you
Miezi tisa tumboni
Kwa mateke mi mtunduuu
Ulinibeeba
Ukajitwisha mgongoni
Upweke na uchunguuuu
Ule wa labour