Rayvanny – Ex Boyfriend Lyrics Leo nakula kwa macho, nguvu ya kusema sinaManeno ya mipasho na jeuri zimeshazima Nilishafuta namba zakoNikachoma picha zakoSikujali ulivyoliaaMbele ya mashoga zakoNikasema uende zakoNguo nikakutupiaaaNa […]
Leo nakula kwa macho, nguvu ya kusema sina Maneno ya mipasho na jeuri zimeshazima
Nilishafuta namba zako Nikachoma picha zako Sikujali ulivyoliaa Mbele ya mashoga zako Nikasema uende zako Nguo nikakutupiaaa Na zaidi, uliuguza vidonda Kwa vipigo, manyanyaso kila siku Kwa mawazo ukakonda Niko bize kucheat, nafungua zipu
Ulinibembeleza, nikakubeza Unanuka na nikakutelekeza Macho makengeza,miguu ya pwesa Kuwa nawe nikamesa niliteleza Leo unapendeza, wamekutengeneza Wanaume wenye mali, wenye fedha
Sasa unajiweza, siweza kujikweza Najutia nafasi kuipoteza Leo aibu yangu Ex Boyfriend Ex Boyfriend Ex Boyfriend
Siitwi tena honey, baby Jina langu limekuwa Ex Boyfriend Ex Boyfriend Ex Boyfriend
Sikujua kumbe tabu peke yangu, naugua Ohhh
Nawaza nilifeli wapi, kusema sikutaki Sura ya baba na kitambi cha makasi Sasa una mtanashati bitozi tena smati Mtu wa gyme tena ana six park Me nipo juu ya bati, sina mikakati Geto mwendo chai na chapati Nous ushahama mburahati Una nyumba masaki Soirée Unachoma Nyama Kila Siku
Ushanipiga mikuli aah Insta mi sifurukuti aah Mambo ya gauni suti aah Mkifanya photoshoot aah Mapenzi hayana komando Mwenzako inaniuma roho Natamani nikwite njoo Turudi kama bifooo
Kumbe shepu ilijificha kwenye dera Hizo skini jinsi mama zinakera Utaniletea kadi kwenye machela Siku akikuvalisha shera
Na Ulinibembeleza, nikakubeza Unanuka na nikakutelekeza Macho makengeza, miguu ya pwesa Kuwa nawe nikamesa niliteleza Leo unapendeza, wamekutengeneza Wanaume wenye mali, wenye fedha
Sasa unajiweza, siweza kujikweza Najutia nafasi kuipoteza Leo aibu yangu Ex petit ami Ex petit ami Ex petit ami
Siitwi tena miel, bébé Jina langu limekuwa Ex petit ami Ex petit ami Ex petit ami