Home » Music » Rayvanny – Miss Buza Lyrics

Rayvanny – Miss Buza Lyrics

Rayvanny – Miss Buza Lyrics

Huyo Miss Buza
Mama Miss Buza
Jamani Miss Buza
Nampenda Miss Buza

Huyo Miss Buza
Mama Miss Buza
Jamani Miss Buza
Nampenda Miss Buza

Rangi Yake ya Vidole kama ndizi za kuchomaa
Harufu yake ya wigi ohh unapata corona
Hee kikipigwa kikodoro lazima utamouna
Shughuli hajaalikwa kijola ka shashola

Ila chumbani si gogo mwali
Mbuzi kagoma kifo cha mende chali
Uvunguni sakafu juu ya dari
Ua mtoto anaupaka asali mama

Akiona simu anpita nayo
Eeh akiona walleti anpita nayo
Eeh akiona dundo kali anpita nayo
Yaani akiona begi kali anpita nayo

Ana msitu kwapani dala kifuani
Kwenye dala dala anpita dirirshani
Ghetto anazima taa vipele mapajani
Ana dera jipya chupi la zamani
Ayoyoyo

Huyo Miss Buza
Mama Miss Buza
Jamani Miss Buza
Nampenda Miss Buza

Huyo Miss Buza
Mama Miss Buza
Jamani Miss Buza
Nampenda Miss Buza

Haya kelele ya kwanza kwa missi yake
We
Kelele ya pili kwa missi yake
We we
Kelele ya tatu kwa missi yake
W we we we

YouTube video